Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Bathsheba akamwendea mfalme Solomoni kumweleza ombi la Adoniya. Mfalme akainuka kwenda kumlaki mama yake, akamwinamia. Halafu, akaketi katika kiti chake cha enzi, akaagiza mama yake aletewe kiti; naye akakaa upande wa kulia wa mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 2

Mtazamo 1 Wafalme 2:19 katika mazingira