Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 17:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha akamsihi Mwenyezi-Mungu akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, je, hata mwanamke huyu mjane ambaye ninakaa kwake, naye ananitunza, unamletea balaa kwa kumwua mwanawe?”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 17

Mtazamo 1 Wafalme 17:20 katika mazingira