Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 17:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Elia akamwambia, “Nipe mwanao.” Basi, Elia akamtwaa mtoto kifuani pa mama yake, akamchukua juu chumbani mwake, akamlaza juu ya kitanda chake.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 17

Mtazamo 1 Wafalme 17:19 katika mazingira