Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 16:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Hali kadhalika, alitengeneza sanamu ya Ashera mungu wa kike. Ahabu alitenda maovu mengi, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu Mungu wa Israeli zaidi ya wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 16

Mtazamo 1 Wafalme 16:33 katika mazingira