Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 14:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Wewe umetenda uovu mbaya zaidi kuliko waliotenda wale waliokutangulia; wewe umenikasirisha kwa kujitengenezea miungu mingine na sanamu za kufua, kisha umeniacha.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 14

Mtazamo 1 Wafalme 14:9 katika mazingira