Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 14:8 Biblia Habari Njema (BHN)

nikaurarua ufalme utoke kwa wazawa wa Daudi, nikakupa wewe. Lakini wewe ni kinyume kabisa cha mtumishi wangu Daudi ambaye alizishika amri zangu, akafuata matakwa yangu kwa moyo wake wote na kutenda tu yaliyo sawa mbele ya macho yangu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 14

Mtazamo 1 Wafalme 14:8 katika mazingira