Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 14:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu alikuwa amekwisha mwambia Ahiya kwamba mke wa Yeroboamu alikuwa njiani, anakuja kumwuliza yatakayompata mwanawe mgonjwa, na jinsi atakavyomjibu.Mkewe Yeroboamu alipofika, alijisingizia kuwa mtu mwingine.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 14

Mtazamo 1 Wafalme 14:5 katika mazingira