Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 14:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, mkewe Yeroboamu akaondoka, akaenda Shilo nyumbani kwa Ahiya. Wakati huo, Ahiya alikuwa hawezi tena kuona sawasawa kwa sababu ya uzee.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 14

Mtazamo 1 Wafalme 14:4 katika mazingira