Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 14:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Yuda walitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu. Walimkasirisha kwa dhambi zao walizotenda, nyingi kuliko za babu zao.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 14

Mtazamo 1 Wafalme 14:22 katika mazingira