Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 12:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, baada ya kushauriana na wengine, akatengeneza sanamu za ndama mbili za dhahabu. Kisha akawaambia watu, “Enyi watu wa Israeli, hii ndiyo miungu yenu iliyowatoa katika nchi ya Misri! Hakuna sababu ya kwenda Yerusalemu kutambikia huko.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 12

Mtazamo 1 Wafalme 12:28 katika mazingira