Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 12:27 Biblia Habari Njema (BHN)

kama watu hawa wataendelea kwenda kutambikia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu huko Yerusalemu. Mioyo yao itamgeukia bwana wao Rehoboamu mfalme wa Yuda, nao wataniua mimi.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 12

Mtazamo 1 Wafalme 12:27 katika mazingira