Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 12:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Rehoboamu alipofika Yerusalemu, alikusanya askari stadi 180,000 wa makabila ya Yuda na Benyamini, apate kupigana na utawala wa Israeli, ili aurudishe utawala kwake yeye mwenyewe Rehoboamu, mwana wa Solomoni.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 12

Mtazamo 1 Wafalme 12:21 katika mazingira