Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 12:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Hivyo, mfalme hakuwajali watu kwa sababu jambo hili lilisababishwa na Mwenyezi-Mungu, ili atimize neno lake alilomwambia Yeroboamu mwana wa Nebati, kwa njia ya Ahiya wa Shilo.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 12

Mtazamo 1 Wafalme 12:15 katika mazingira