Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 12:14 Biblia Habari Njema (BHN)

akafuata shauri la vijana wenzake, akawaambia, “Baba yangu aliwatwika mzigo mzito, lakini mimi nitaufanya kuwa mzito zaidi. Baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, lakini mimi nitawapiga kwa mijeledi yenye miiba.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 12

Mtazamo 1 Wafalme 12:14 katika mazingira