Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 22:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Daudi akajisemea, “Nyumba ambayo mwanangu Solomoni atamjengea Mwenyezi-Mungu itakuwa ya fahari sana, ya kusifika na tukufu duniani kote. Lakini kwa vile yeye bado angali kijana na bado hana uzoefu mwingi, afadhali nimfanyie matayarisho.” Hivyo basi, Daudi akaweka akiba kubwa sana ya vitu vya ujenzi kabla hajafariki.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 22

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 22:5 katika mazingira