Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 12:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Hapo Roho akamjia Abishai, mkuu wa hao watu thelathini, naye akasema,“Sisi tu watu wako, ee Daudi,tuko upande wako, ee mwana wa Yese!Amani, amani iwe kwako,na amani iwe kwa yeyote akusaidiaye!Maana akusaidiaye ndiye Mungu wako.”Ndipo Daudi akawapokea na kuwafanya maofisa katika jeshi lake.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 12

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 12:18 katika mazingira