2. Kenani akamzaa Mahalaleli, Mahalaleli akamzaa Yaredi,
3. Yaredi akamzaa Henoki, Henoki akamzaa Methusela. Methusela alimzaa Lameki,
4. Lameki akamzaa Noa. Noa alikuwa na wana watatu: Shemu, Hamu na Yafethi.
5. Wana wa Yafethi walikuwa Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi.