Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 1:1-12 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Adamu alimzaa Sethi, Sethi akamzaa Enoshi, Enoshi akamzaa Kenani,

2. Kenani akamzaa Mahalaleli, Mahalaleli akamzaa Yaredi,

3. Yaredi akamzaa Henoki, Henoki akamzaa Methusela. Methusela alimzaa Lameki,

4. Lameki akamzaa Noa. Noa alikuwa na wana watatu: Shemu, Hamu na Yafethi.

5. Wana wa Yafethi walikuwa Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi.

6. Wana wa Gomeri walikuwa Ashkenazi, Difathi na Togama.

7. Wana wa Yavani walikuwa Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.

8. Wana wa Hamu walikuwa Kushi, Misri, Puti na Kanaani.

9. Wana wa Kushi walikuwa Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa Sheba na Dedani.

10. Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani.

11. Wazawa wa Misri ni Waludi, Waanamu, Walehabi, Wanaftuhi,

12. Wapathrusi Wakaftori na Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti).

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 1