Agano la Kale

Agano Jipya

Ufunuo 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mbele ya kiti cha enzi kulikuwa na kitu kama bahari ya kioo, angavu kama jiwe ling'aalo sana.Katika pande zote za hicho kiti cha enzi na kukizunguka, kulikuwa na viumbe hai wanne. Viumbe hao walikuwa wamejaa macho mbele na nyuma.

Kusoma sura kamili Ufunuo 4

Mtazamo Ufunuo 4:6 katika mazingira