Agano la Kale

Agano Jipya

Ufunuo 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kwa malaika wa kanisa la Efeso andika: “Mimi nishikaye zile nyota saba katika mkono wangu wa kulia na ambaye hutembea katikati ya vinara saba vya taa vya dhahabu, nasema hivi:

Kusoma sura kamili Ufunuo 2

Mtazamo Ufunuo 2:1 katika mazingira