Agano la Kale

Agano Jipya

Ufunuo 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Najua mambo yako yote; najua bidii yako na uvumilivu wako. Najua kwamba huwezi kuwavumilia watu waovu, na kwamba umewapima wale wanaojisemea kuwa mitume na kumbe sio, ukagundua kwamba ni waongo.

Kusoma sura kamili Ufunuo 2

Mtazamo Ufunuo 2:2 katika mazingira