Agano la Kale

Agano Jipya

Mathayo 26:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Naam, Mwana wa Mtu anakwenda zake kama Maandiko Matakatifu yasemavyo, lakini ole wake mtu yule atakayemsaliti Mwana wa Mtu! Ingalikuwa afadhali kwa mtu huyo kama hangalizaliwa.”

Kusoma sura kamili Mathayo 26

Mtazamo Mathayo 26:24 katika mazingira