Agano la Kale

Agano Jipya

Marko 8:36-38 Biblia Habari Njema (BHN)

36. Je, kuna faida gani mtu kuupata ulimwengu wote na kuyapoteza maisha yake?

37. Ama mtu atatoa kitu gani badala ya maisha yake?

38. Mtu yeyote katika kizazi hiki kiovu na kisicho na uaminifu kwa Mungu, anayenionea aibu mimi na mafundisho yangu, Mwana wa Mtu atamwonea aibu mtu huyo, wakati atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.”

Kusoma sura kamili Marko 8