Agano la Kale

Agano Jipya

Marko 3:32-35 Biblia Habari Njema (BHN)

32. Umati wa watu ulikuwa umekaa hapo kumzunguka. Basi, watu wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanataka kukuona.”

33. Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?”

34. Hapo akawatazama watu waliokuwa wamemzunguka, akasema, “Tazameni! Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.

35. Mtu yeyote anayefanya anayotaka Mungu, huyo ndiye kaka yangu, dada yangu na mama yangu.”

Kusoma sura kamili Marko 3