Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 4:18 Biblia Habari Njema (BHN)

“Roho wa Bwana yu juu yangu,kwani ameniweka wakfuniwaletee maskini Habari Njema.Amenituma niwatangazie mateka uhuru wao,na vipofu watapata kuona tena;amenituma niwakomboe wanaoonewa,

Kusoma sura kamili Luka 4

Mtazamo Luka 4:18 katika mazingira