Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 23:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Herode alifurahi sana alipomwona Yesu. Alikuwa amekwisha sikia habari zake, na hivyo alikuwa anatazamia kwa muda mrefu kumwona kwa macho yake mwenyewe. Zaidi ya hayo, alikuwa anatumaini kumwona Yesu akitenda mwujiza.

Kusoma sura kamili Luka 23

Mtazamo Luka 23:8 katika mazingira