Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 14:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Halafu akamwambia na yule aliyemwalika, “Kama ukiwaandalia watu karamu mchana au jioni, usiwaalike rafiki zako au jamaa zako au jirani zako walio matajiri wasije nao wakakualika, nawe ukawa umelipwa kile ulichowatendea.

Kusoma sura kamili Luka 14

Mtazamo Luka 14:12 katika mazingira