Agano la Kale

Agano Jipya

1 Yohane 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Tulichokiona na kukisikia ndicho tunachowatangazieni nyinyi pia, ili nanyi mpate kushirikiana nasi katika umoja tulio nao na Baba na Mwanae Yesu Kristo.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 1

Mtazamo 1 Yohane 1:3 katika mazingira