Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 7:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata hivyo, ikiwa yule asiyeamini anataka kumwacha mwenzake aliye Mkristo, basi, na amwache tu. Hapo huyo Mkristo, mume au mke, atakuwa huru. Maana Mungu amewaiteni nyinyi muishi kwa amani.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 7

Mtazamo 1 Wakorintho 7:15 katika mazingira