Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa maana huyo mume asiyeamini hupokelewa kwa Mungu kwa kuungana na mkewe; na huyo mke asiyeamini hupokelewa kwa Mungu kwa kuungana na mumewe. Vinginevyo watoto wao wangekuwa si wa Mungu; kumbe sasa ni watoto wake Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 7

Mtazamo 1 Wakorintho 7:14 katika mazingira