Kwa sifa za watoto wadogo na wanyonyao,umejiwekea ngome dhidi ya adui zako,uwakomeshe waasi na wapinzani wako.