Vinywani mwao hamna ukweli;mioyoni mwao wamejaa maangamizi,wasemacho ni udanganyifu wa kifo,ndimi zao zimejaa hila.