Misri anatoa sauti kama nyoka anayekimbia;maana maadui zake wanamjia kwa nguvu,wanamjia kwa mashoka kama wakata-miti.