Mpenzi wangu ni kama paa,ni kama swala mchanga.Amesimama karibu na ukuta wetu,achungulia dirishani,atazama kimiani.