Kwa silaha zao wataitawala nchi ya Ashuru,na kuimiliki nchi ya Nimrodi.Watatuokoa mikononi mwa Waashuru,watakapowasili mipakani mwa nchi yetuna kuanza kuivamia nchi yetu.