Kila mtu atakaa kwa amanichini ya mitini na mizabibu yake,bila kutishwa na mtu yeyote.Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ametamka yeye mwenyewe.