Watakapowaona watoto wao,watoto niliowajalia mimi mwenyewe,watalitukuza jina langu mimi Mtakatifu wa Yakobo;watakuwa na uchaji kwangu mimi Mungu wa Israeli.