kwa kuwa wamekwenda kuomba msaada Ashuru.Efraimu ni punda anayetangatanga peke yake;Efraimu amekodisha wapenzi wake.