Vivyo hivyo, ulimi, ingawa ni kiungo kidogo cha mwili, hujisifia makuu sana.Moto mdogo waweza kuteketeza msitu mkubwa.