Agano la Kale

Agano Jipya

Yakobo 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Hali kadhalika ulimi ni kama moto. Umejaa maovu chungu nzima, unayo nafasi yake katika miili yetu na hueneza ubaya katika nafsi zetu zote. Huteketeza maisha yetu yote kwa moto utokao Jehanamu kwenyewe.

Kusoma sura kamili Yakobo 3

Mtazamo Yakobo 3:6 katika mazingira