Agano la Kale

Agano Jipya

Neh. 7:11-26 Swahili Union Version (SUV)

11. Wana wa Pahath-Moabu, wa wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wanane.

12. Wana wa Elamu, elfu moja mia mbili hamsini na wanne.

13. Wana wa Zatu, mia nane arobaini na watano.

14. Wana wa Zakai, mia saba na sitini.

15. Wana wa Binui, mia sita arobaini na wanane.

16. Wana wa Bebai, mia sita ishirini na wanane.

17. Wana wa Azgadi, elfu mbili mia tatu ishirini na wawili.

18. Wana wa Adonikamu, mia sita sitini na saba.

19. Wana wa Bigwai, elfu mbili sitini na saba.

20. Wana wa Adini, mia sita hamsini na watano.

21. Wana wa Ateri, wa Hezekia, tisini na wanane.

22. Wana wa Hashumu, mia tatu ishirini na wanane.

23. Wana wa Besai, mia tatu ishirini na wanne.

24. Wana wa Harifu, mia moja na kumi na wawili.

25. Wana wa Gibeoni, tisini na watano.

26. Watu wa Bethlehemu na Netofa, mia na themanini na wanane.

Kusoma sura kamili Neh. 7