Agano la Kale

Agano Jipya

Mhu. 6:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Kuna baa nililoliona mimi chini ya jua, nalo linawalemea wanadamu kwa uzito;

2. mtu aliyepewa na Mungu mali, ukwasi, na heshima, hata asipungukiwe na kitu cho chote kwa nafsi yake, katika yote anayoyatamani walakini Mungu hamwezeshi kula katika hizo; bali mgeni hula. Hayo ndiyo ubatili hasa, nayo ni ugonjwa mbaya.

Kusoma sura kamili Mhu. 6