Agano la Kale

Agano Jipya

2 Sam. 16:8 Swahili Union Version (SUV)

BWANA amerudisha juu yako damu yote ya nyumba ya Sauli ambaye umetawala badala yake; naye BWANA ametia ufalme katika mkono wa Absalomu mwanao; kisha, angalia, wewe umetwaliwa katika uovu wako mwenyewe, kwa sababu umekuwa mtu wa damu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 16

Mtazamo 2 Sam. 16:8 katika mazingira