Agano la Kale

Agano Jipya

2 Sam. 16:21 Swahili Union Version (SUV)

Naye Ahithofeli akamwambia Absalomu, Ingia wewe kwa masuria ya baba yako, hao aliowaacha ili kutunza nyumba; na Israeli wote watasikia ya kuwa umechukizwa kabisa na baba yako; ndipo itatiwa nguvu mikono yao wote walio pamoja nawe.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 16

Mtazamo 2 Sam. 16:21 katika mazingira