Agano la Kale

Agano Jipya

Yn. 6:32 Swahili Union Version (SUV)

Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Siye Musa aliyewapa chakula kile cha mbinguni, bali Baba yangu anawapa ninyi chakula cha kweli kitokacho mbinguni.

Kusoma sura kamili Yn. 6

Mtazamo Yn. 6:32 katika mazingira