Agano la Kale

Agano Jipya

Yn. 20:15 Swahili Union Version (SUV)

Yesu akamwambia, Mama, unalilia nini? Unamtafuta nani? Naye, huku akidhania ya kuwa ni mtunza bustani, akamwambia, Bwana, ikiwa umemchukua wewe, uniambie ulipomweka, nami nitamwondoa.

Kusoma sura kamili Yn. 20

Mtazamo Yn. 20:15 katika mazingira