Agano la Kale

Agano Jipya

Yn. 11:38 Swahili Union Version (SUV)

Basi Yesu, hali akiugua tena nafsini mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake.

Kusoma sura kamili Yn. 11

Mtazamo Yn. 11:38 katika mazingira