Agano la Kale

Agano Jipya

Yn. 11:11-14 Swahili Union Version (SUV)

11. Aliyasema hayo; kisha, baada ya hayo, akawaambia, Rafiki yetu, Lazaro, amelala; lakini ninakwenda nipate kumwamsha.

12. Basi wale wanafunzi wakamwambia, Bwana, ikiwa amelala, atapona.

13. Lakini Yesu alikuwa amenena habari ya mauti yake; nao walidhania ya kuwa ananena habari ya kulala usingizi.

14. Basi hapo Yesu akawaambia waziwazi, Lazaro amekufa.

Kusoma sura kamili Yn. 11