Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika;Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai.