Agano la Kale

Agano Jipya

Mdo 3:13 Swahili Union Version (SUV)

Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka na wa Yakobo, Mungu wa baba zetu, amemtukuza mtumishi wake Yesu, ambaye ninyi mlimsaliti na kumkana mbele ya Pilato, alipokuwa ametoa hukumu yake afunguliwe.

Kusoma sura kamili Mdo 3

Mtazamo Mdo 3:13 katika mazingira